Kuanzia Leo:
- Mimi Nitafanya kazi kwa furaha nikikumbuka wema na fadhili kutoka kwa mungu mzazi, wazazi, walimu na jamii kwa jumla.
- Sitaongea mambo mabaya juu ya watu wengine ama kujisifu.
- Nitafanya kazi kwa bidii bila kuchelewa na kwa wakati ufaao.
- Sitakasirika ama kulalamika hata ndani ya roho yangu.
- Nitajitahidi kuepukana na maovu matatu: Utumiaji mbaya wa vifaa, Kupoteza wakati, na kufikilia maovu, ili niishi maisha mapya hapa duniani.
