Morning Pledge

Kuanzia Leo:

  1. Mimi Nitafanya kazi kwa furaha nikikumbuka wema na fadhili kutoka kwa mungu mzazi, wazazi, walimu na jamii kwa jumla.
  2. Sitaongea mambo mabaya juu ya watu wengine ama kujisifu.
  3. Nitafanya kazi kwa bidii bila kuchelewa na kwa wakati ufaao.
  4. Sitakasirika ama kulalamika hata ndani ya roho yangu.
  5. Nitajitahidi kuepukana na maovu matatu: Utumiaji mbaya wa vifaa, Kupoteza wakati, na kufikilia maovu, ili niishi maisha mapya hapa duniani.